0

on
Imekua ni moja ya Top Stories February 11 2016 baada ya picha kuanza kusambaa asubuhi kuhusu Injini ya Pantoni Kigamboni kuzima katikati ya maji na safari haijakamilika, shuhuda ambaye ni Mfanyabiashara kwenye eneo la Feri ambaye ni lazima kila saa kumi na moja alfajiri awepo eneo hilo, amefichua mengine kwamba Pantoni la Kigamboni hukumwa na misukosuko hii kila wiki.
Stori kamili utaipata ukibonyeza play hapa chini kuipata kwa ukamilifu.
UMEONA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI ULIPOFIKIA?

Post a Comment

 
Top