0

VIDEO: Waziri Nchemba kafanya ziara ya kushtukiza usiku,aliyoyakuta imebidi kumsimamisha kazi Mkurugenzi

By
on
Usiku wa Feb 11 2016,  Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba alifunga safari y a ghafla kuelekea katika machinjio ya Ukonga Mazizi Dar , safari hii ikiwa ni kupambana na kuwakamata wanaohujumu kodi pamoja na mapato ya serikali.
Camera ya Ayo Tv iliyanasa matukio yote makubwa, unaweza kuyatazama hapa kwenye hii video
https://youtu.be/1Yi-qnbj-XQ

Post a Comment

 
Top