Taarifa
zilizo make headline muda huu ni pamoja na hii ya Pantoni kuzima ghafla
Dar na kulazimika abiria wajitose baharini kuokoa maisha yao, hadi sasa
haijafahamika kama kuna arhari iliyopatikana. Endelea kukaa karibu na
millardayo.com ili zote zitakazonifikia iwe rahisi kukusogezea. Na hizi
ni picha za mwanzo..!
.
Post a Comment
Post a Comment