GENERAL NEWS Peter Okoye wa P-square leo katusogezea sehemu ya 2 & 3 ya show yake ‘Dance with Peter’..Video By Jesca TZA
onOctober 12, 2015 1SHARE COMMENTS
Peter Okoye wa kundi la P-square amekuwa akituletea mfululizo wa show yake yake inayoitwa ‘Dance with Peter’ .
Show hiyo inayosimamiwa na majaji Ehiz, Kaffy pamoja na Don Flexx imekuwa ikishirikisha madancer kutoka Benin, Port-Harcourt pamoja na Lagos.
Leo ametusogezea sehemu ya pili na ya tatu ya shoo hiyo….
Post a Comment
Post a Comment