0

Msanii wa R&B nchi Ben Paul kuelekea nchini south Africa kwa ajili ya Ku shoot video ya wimbo wake mpya. Ben Paul akiongea na Geffe Davidy amesema ataondoka tarehe 20 mwezi huu. Ngoma hiyo ya "ningefanyaje" akiwa ameshirikia na wasanii wa kimataifa amebain itakua ngoma Kali na yenye mafanikio zaidi kwake. Justin Compos ndie Director atakae Fanya nae kazi hyo.

Post a Comment

 
Top