0

Imepita mwaka mmoja na nusu toka Ciara na Future wamkaribishe duniani mtoto wao wa kiumebabyfuturelakini pengine mwaka huu wa 2016 unaweza kuwa mwaka mgumu kwa staa wa muziki wa R&B, Ciara!

Future & Ciara.

Baada ya ukimya juu ya mvutano unaohusiana na mtoto wao, Future ameonekana kuchoshwa na mambo hayo na hivyo kumwambia Ciara ajiandee kwani visa anavyomuwekea ili kuonana mwanae vimefika mwisho!

babyfuture.

Kupitia page yake ya Twitter, Future amefunguka na kuandika tweets hizi tano

>>> “ Huyu b**** ana matatizo… “ <<< @1future.

>>> “ Inabidi nipitie kwa wanasheria ili kumuona babyfutureushenzi wa kulipa dolla 15,000 kwa mwezi ” <<< @1future.

>>> “ Namtaka babyfuture hicho tu.” <<< @1future. 

Future anadai amekuwa akijitahidi kutatua issue hizo yeye binafsi lakini uvumilivu umemshinda na hivyo kuamua kuiweka wazi ili watu wote wajue kuwa amechoshwa na visa anavyofanyiwa na Ciarana pengine kuanzisha vita nyingine!?

>>> “ Nimekuwa kimya kwa mwaka mmoja & nusuuvumilivu umenishinda” <<< @1future.

>>> “ Jiande kwa hii classic…” <<< @1future.

Post a Comment

 
Top