0

Baada ya kitoa my number 1 remix kwa Mara ya pili msanii was bongo flava Nasib Abdul alma study Diamond Platinum aka dangote. Ngoma Kali kuhusu ccm imevuka mipaka na kusikilizwa na watu wengi zaidi ndan na nje ya nchi. Kufuatia halo hyo imepelekea wasanii wengi kufuatilia siasa. Diamond platinum aliandika katika ukrasa sake Facebook kuhusu msimamo wake na CCM kwamba ya yeye hayuko kufuata mkumbo kisiasa. Pia amedai maendeleo na juhudi za zimechangiwa na Chama hicho. "Walioondoka CCM baada ya kukatwa walikuwa wakijinadi na kukisifia chama sasa inakuwa ni unafiki kugeuka na kukichafua chama" alisema diamond.
   Aliendelea kwa kusema "kuelekea uchaguzi mkuu mila mtanzania aangalie wapi ni sahihi kuchagua ili kupata kiongozi mzuri"

Post a Comment

 
Top